INFORMATION CONSULTACY LTDLocation: Morogoro Mjini.
1. MTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA (MOBILE APPLICATION NA WEBSITE) - NAFASI 11.1 MAJUKUMU YA KAZIi. Kundaa sketch ya programu za tehama.ii. Kuandaa databaseiii. Kutengeneza websiteiv. Kutengeneza mobile application
1.2 SIFA ZA MWOMBAJIAwe na uzoefu Juu ya TEHAMA katika fani ya utengenezaji wa Programu za Mifumo ya TEHAMA na ufahamu na maarifa ya vitendo katika Java EE, C#, C++ na Python pamoja na uwezo wa kufanya kazi za Mifumo ya Uhifadhi Data zenye Uhusiano (Relational DataBase Management Systems (RDMS).
Utaratibu wa kutuma maombi:Mwombaji atume CV yake, Kitambulisho na Passport mbili).Maombi yote yatumwe kwenye email address:
information.consultancy.co@gmail.comMwisho wa kutuma maombi ni 25 August 2025